Timu ya soka ya Waandishi wa Habari za michezo nchini (TASWA FC) imeamua kufungua blog yake kwa lengo la kutoa mchango wake katika sekta ya habari hapa nchini. Tunawakaribisha wadau wote na tunaomba michango yenu mbalimbali ikiwa pamoja na kututumia habari na matukio ya picha mbali mbali na vile vile maoni yenu Wako katika ulimwengu wa habari.
Majuto Omary
Mwenyekiti
No comments:
Post a Comment