Monday, March 14, 2011

KIKOSI CHA U-23 HIKI HAPA

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya U-23 Jamhuri Kihwelu maarufu kwa jina la Julio ametaja kikosi cha wachezaji 25 watakaocheza mechi ya kwanza ya kutafuta tiketi ya kufuzu kwa mashindano ya Olimpiki dhidi ya Cameroon hapo Machi 27 mjini Younde.

Kikosi hiki kinajumuisha wachezaji kutoka Zanzibar ambao nao walishiriki katika mchujo huo.

Kikosi chenyewe hiki hapa:

01. Shabani Kado- Mtibwa Sugar
02. Gharib Mussa- Mtende Rangers
03. Salum Telela- Yanga
04. Faraja Kabari- Simba
05. Issa Rashid- Mtibwa Sugar
06. Mbwana Hamis- Simba
07. Shomari Kapombe- Polisi Morogoro
08. Idrisa Juma- KMKM
09. Abdul Gulam- Malindi
10. Seme Omega- Yanga
11. Himid Mao- Azam
12. Babu Ally- Morani
13. Ibrahim Rajabu- Azam
14. Salum Abubakar- Azam
15. Awadh Juma- Azam
16. Godfrey Wambura- Simba
17. Jamal Mnyate- Azam
18. Frank Domayo- JKT Ruvu
19. Cosmas Fred- Azam
20. Mcha Khamis- Zanzibar Ocean View
21. Ventlaus John- KMKM
22. Eddo Christopher- Simba
23. Amour Suleiman- Zanzibar Ocean View
24. Zahoro Pazi- African Lyon
25. Samwel Ngasa- African Lyon
Team Officials
01. Jamhuri Kihwelo- Head Coach
02. Ayoub Mohamed- Assistant Coach
03. Adolf Rishard- Team Manager
04. Captain Joachim Mshana- Team Doctor
05. Eddy Venance- Kit Manager
Timu itacheza mechi mbili za kirafiki. Machi 16 itacheza na Azam FC kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam wakati Machi 18 itakuwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kucheza na Mtibwa Sugar.

No comments: